Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA KUBWA MPYAAAA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #400k
===
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule dinning kubwa jiko na public toilet
====
Bei:400,000 Kwa mwezi × 6 ( Malipo miezi 6)
====
Umbali km 1 Bajaji zipo inakuacha mlangoni LAMI HADI KWENYE NYUMBA
===
Apartments zipo 3 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
====
Ndani ya fence parking nikubwa
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
SIMU. 0764575774