Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


(200,000 × 3) KIBAMBA HOSPITAL
*#APARTMENT ZINA PANGISHWA KIBAMBA HOSPITAL UMBALI KM 1.3*
*Miezi 3 kuendelea tuna andika mkataba wahi*
PIKIPIKI 1000 MPK GETINI
------
Chumba
Sebule
Public toilet Ndani
Jiko Kubwa La Makabati
Slide window
Maji yana flow
Luku Yake
Fensi kubwa na Peving Block
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
*Kodi 200,000/=×3(kuhusu miezi fika site)*
----------
*HABARI NJEMA WATU WAMESHA ANZA KULIPIA MIEZI 3 TUUU UNAKAA SEHEM SALAMA*
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300