Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA SANA YA FAMILIA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #500k
Vyumba 4 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule dinning kubwa jiko, stoo na public toilet
Pia kuna servant corter ya vyumba single 2 na Choo chake.
INAFAA KWA OFISI PIA
Bei:500,000 Kwa mwezi × 6 ( Malipo miezi 6)
Umbali km 1.4 Bajaji zipo inakuacha mlangoni LAMI HADI KWENYE NYUMBA
umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Ndani ya fence parking nikubwa, kuna mabanda Kwa wafugaji na sehemu ya kulima
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 51