Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIBAMBA SHULE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum.
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=ร3
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambao ni laki 3.5
------------
Contact
๐#0676_218580(WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐