Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #300k
ITAKUWA WAZI 9/3/2024 KUONA MPANGAJI AKIWEPO NA KULIPIA RUKSA KABISAA
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko na public toilet
====
Bei:300,000 Kwa mwezi × 3 ( Malipo miezi 3)
====
Umbali km 1.4 Bajaji zipo inakuacha mlangoni LAMI HADI KWENYE NYUMBA
===
Apartments zipo 3 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
====
Ndani ya fence parking nikubwa
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
#0714335450
#0714335450
__
PIGA SIMU