Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
#APARTMENT MPYAA INAPANGISHWA KIBAMBA KWA MANGI #200k
====
Chumba Cha kulala
Sebule
Choo ndani (master)
UMEME INAJITEGEMEA YENYEWE
Maji yanaflow chooni
====
Bei:200,000 kwa mwezi x 3
===
Umbali dakika 9 kwa mguu toka kituoni
=====
Nyumba Ni mpya ndani ya fence pashawekwa perving pote
====
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
====
0679447338
0753454167