Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


(155,000 × 3) KIBAMBA MLOGANZILA
APARTMENT INAPANGISHWA NZURI SANA MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO KIBAMBA CHAMA MLOGANZIRA
YENYE
MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI
LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCKS GET
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI 155,000 × 3
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300