Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


(100,000 × 4) KIBAMBA SHULE
➖➖➖➖➖➖➖
MASTER BEDROOM NA JIKO INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
===
Mster bedroom kubwa na jiko
Bei:100,000 kwa mwezi x 4
===
Kila apartiment Inajitegemea umeme(Submeter wawili)na Maji Dawasco yanaflow chooni na jikoni
====
Ndani ya fence parking ipo kubwa
====
Umbali KM 1.3 Kutoka kituoni Usafiri bajaji zipo
====
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300