Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM NA JIKO INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #100k
Chumba choo na jiko
Kodi 100,000 kwa mwezi × 4
Umabli Km 1.5 boda 1000
Inajitegemea maji, umeme submeter
Ndani ya fence parking ya kuaminika
Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
0679447338
0753454167



















