Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







#STAND ALONE KALI SANAAAAAAAA ZAIDA YA SANAAA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
🥕SEBULE KUBWA MNOO
🥕DINNING ROOM
🥕VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
🥕KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
🥕JIKO NZURI LENYE FULL MAKABATI
🥕STORE KUBWA
🥕CHOO CHA FAMILIA
🥕GARDEN NZURI MNOO
🥕PARKING SPACE KUBWA MNOO
🥕UMEME LUKU YAKO
🥕MAJI YANAFLOW NDANI
✨️KAMA UNATAKA HIVYO VITU VILIVYOMO NDANI MTAZUNGUMZA NA MWENYE NYUMBA NI VIPYA KABISA
KODI 800,000 × 6
#NYUMBA INA MAZINGIRA MAZURI MNOO NA SEHEMU NZURI YA GARDEN KWA NJEEE
#NYUMBA IPO KIBAMBA SHULE UMBALI WA KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD #NDUGU MTEJA ZINGATIA HUO UMBALI PLEASE AND PLEASE
#WALE WAFANYAKAZI WA MLOGANZILA NDIO SEHEMU YENU HII KABISA NYUMBA NZURI MNOO
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000/=
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp