Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


BOSS KAVURUGWA LEO MWENYE BAHATI NA ABAHATIKE KUTOKA 350K MPAKA 250K HAIKUWA RAHISI
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KIBAMBA KWA MANG MPYAAAAA I#250K
==
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom
Sebule
Choo ndani public na JIKO KUBWA
===
KODI 250,000 KWA MWEZI × 6( UJE NA MIEZI 6 KWAKWELI)
===
Kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Dakika 12 Kwa mguu
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
#0714335450