Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


(300,000X6)KIBAMBA SHULE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIBAMBA SHULE
Umbali wa Kilomita 1 Kutoka Main Road.
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Vyumba VIWILI vya Kulala Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo 4 ndani ya Fensi Inamaliziwa Kujengwa Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300,000 Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453