Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
🏡NYUMBA INAPANGISHWA
(INAJITEGEMEA)
📍Kigamboni-Darajani(Soweto)
💰500,0000 kwa mwezi Na mwezi mmoja wa dalali
Details
•Vyumba vitatu vya kulala(Kimoja Master)
•Sebule
•Jiko
•Common Washroom(Choo)
•Umeme na Maji Unajitegemea
✅Nyumba ni Mpya kabisa
✅Fenced
✅Parking
✅Classic House
#NYUMBAKALITU💥
✍️SURVEY CHARGE(Pesa ya kuzunguka)
20,000/=
☎️0621393139(WhatsApp/Call/Text)
📲0769063139(Call/Text)