Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


✅️CHUMBA MASTER NA JIKO LAKE KWA 130K
✅️NYUMBA IPO KIGAMBONI DARAJANI SOWETO
✅️NYUMBA MPYA KABISA BOSS WANG NA IPO NDANI YA FENSI USALAMA WAKUTOSHA
✅️LUKU YAKO MAJI 5K KODI KUAZIA MIEZI 3 NAKUENDELEA
✅️MALIPO YA DALALI 130K SERVICES 20K 📱 0750 886 103