Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


📍Kigamboni Kibada Mwera (Dsm)
👉New Project
🏠Sebule Chumba master & jiko
👉Zingatia boda Elf 2 kutoka kibada stend Hadi kwenye nyumba
💰250,000/= kwa mwezi
👉Malipo kuanzia miezi Minne
⚡Umeme wakujitegemea
✅Nyumba zipo ndani ya fensi
✅Parking kubwa
💧Maji masaa 24/7
📲Call/Whtsp
📲0714079500



















