Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


๐ NYUMBA MZUR SAN INAJITEGEMEYA KILA KITU
๐ CHUMBA MASTER SEBURE NA JIKO LAKE KWA 170K
๐ LUKU YAKO MAJI BILI YAKO
๐ PIA IPO KARIBU SAN BARABARA
๐ LOCATION KIGAMBONI DARAJANI
๐ KODI KUAZIA MIEZI 4 NAKUENDELEA BOSS WNG
๐ MALIPO YA DALALI CHAPAPA 170K SURVEY 20K โ๏ธ0750886103