Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA
Kigamaboni darajani 📍
✅ Chumba master
✅ Haina fence
✅ Umeme & maji submeter
✅ Karibu na barabara
👉 bei 130k kodi kuanzia Miezi 3
👉 zingatia service charge 20k.. ukilipia Nyumba dalali mwezi 1
Welcome Kigamboni
#realestateagent #nyererebridgekigamboni🇹🇿 #diamondplatnumz_trends #diamondplatnumz #mbossokhan #kigamboni #nyererebrigde