Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


✅️CHUMBA MASTER NA JIKO LAKE KWA 100K BOSS WANG
✅️NYUMBA MPYA KABISA BOSS WANG NA MTAA WA KISHUWA SAN
✅️NYUMBA IPO KIGAMBONI KIBADA
✅️KODI KUAZIA MIEZI 5 NAKUENDELEA BOSS WANG
✅️MALIPO YA DALALI 100K SERVICES 20K 📱 0750 886 103