Nyumba inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


NYUMBA YA OFISI INAPANGISHWA, IPO KIJITONYAMA AKACHUBE ROAD SI MBALI NA MAKUMBUSHO STENDI, NYUMBA KUBWA INA VYUMBA V4, V2 NI MASTER NA V2 VYA KAWAIDA, INA SEBULE NA DAYNING, JIKO NA CHOO CHA PUBLIC, NYUMA KUNA BOY COTER INA MASTER SEBULE NA JIKO NA CHOO CHA PUBLIC, KWA MWEZI NI MILION 3, KODI MALIPO YA MWAKA MMOJA (1) WANATAKIWA WATU WA OFISI TU. KWENYE NYUMBA HII, . ZINGATIA HAYO MAELEZO.
CONTACT
O747196597 WhatsApp
0718618508
0696288247