Nyumba inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam
NYUMBA YA OFISI INAPANGISHWA, IPO KIJITONYAMA AKACHUBE ROAD SI MBALI NA MAKUMBUSHO STENDI
NYUMBA KUBWA INA VYUMBA V4, V2 NI MASTER NA V2 VYA KAWAIDA, INA SEBULE NA DAYNING, JIKO NA CHOO CHA PUBLIC, NYUMA KUNA BOY COTER INA MASTER SEBULE NA JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
KWA MWEZI NI MILION 3, KODI MALIPO YA MWAKA MMOJA (1) WANATAKIWA WATU WA OFISI TU.