Nyumba inapangishwa Kiluvya, Pwani


APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #120𝑲
===
Chumba cha kulala sebule na Choo ndani
===
Kodi 120,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali dakika 9 Kwa mguu toka kituoni
===
Inajitegemea umeme, maji yanaflow chooni
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0679447338
0753454167