Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🏘️ 4RENT __300,000X4__KIMARA STOPOVER __CHUMABA _MASTER SEBLE JIKO ___DK7 KUTOKA KITUON __NAIFAULISHA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA OPEN KITCHEN
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 300,000/=×4
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU
🇹🇿 APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
📌📌 APARTMENT INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI PIA NAOMBA UZINGATIE TAREHE NDUGU MTEJA
_________________________________________________________
SEVISE CHARGE 15ELFU __UKILIPIA NYUMBA AGENT MONTH __300K
____________________________________________________
CALL__+255 679 897 628/wsp__DLL__Sd660__tdsmtz🇹🇿🇹🇿