Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 ร 6) KIMARA TEMBONI KALI SANA HII NYUMBA
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA 250,000/= X 6
๐๏ธAPARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#FENSI KUBWA
#PARKING
BEI NI 250,000/= ร6
โผ๏ธPIA KUNA CAUTION MONEY ๐ฐ YA KULINDA NYUMBA UKIONDOKA UNARUDISHIWA AMBAYO NI SH 200,000
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
Service charge ni shilingi 15,000/=
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258