Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR MNOOOOO
INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4 TU
YA JUU NDO IPO WAZI
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO PARKING IPO
UMBALI KM 1,3 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE USAFIRI IPO WA UAKIKA BAJAJI 500 TU UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0653244031 __ 0675407514 __ 0789666554 __ 0746754075