Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER INAPANGISHWA
KODI 70,000X6
LOCATION: KIMARA MWISHO
UMBALI KM 3
BAJAJI 1000
DALADALA 800
MAJI YANA FLOW NDANI
HIKI CHUMBA KIKUBWA SANA KINA 15 KWA 12
KIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347