Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X6)KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA WAHI MAPEMA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 10/04/2025 MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
NB: NJOO FANYA BOOKING KWA PESA KIDOGO WAKATI UNASUBIRI NYUMBA ZIKAMILIKE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING ZINAWEKWA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453