Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🗯️ KIMARA KOROGWE
📍 170,000/= *6
📌 Bei Imepoa sana Wahi
________
____
• Jiko lenye Kabati
• Chumba Master Kizuri
* Maji yanatoka Ndani
* Ndani ya Fensi
* Parking
* Umeme wawili tu
* Mazingira Tulivu na Mazuri
#Umbali wa dakika 3 tu kwa kutembea kutoka Mwendokasi
📌 Note;- Nyumba Mpya Kabisa inakuwa tayari kuhamia tarehe 25/ 07/2024, kuona na kulipia ruksa
📌 Saizi Inahitajika kodi ya mwaka baada ya hapo ndio utaanza kulipa sita sita
_________
📌 *MUHIMU*
#Malipo Ya Dalali Nasoni ni 170,000/=
#Kupelekwa kuona 15,000/=
№: 0753172516