Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER NA JIKO
#100,000/=
MALIPO MIEZI 5/6
--------------------------------
๐Mahali:KIMARA TEMBONI SARANGA(DSM)๐น๐ฟ
Umbali:2.Km BAJAJI 700
__________________________
MUUNDO
โ๏ธChumba Master Kubwa
โ๏ธJiko
โ๏ธ Tiles na Gypsum
โ๏ธ Slide Window
โ๏ธMazingira Mazuri .
โ๏ธMaji Yana flow ndani
___________________________
HUDUMA
โ๏ธMaji (yapo dawasa)#MITA YAKO
โ๏ธUmeme _LUKU YAKO
๐Mazingira Tulivu Sana
โโโโโโโโ
KODI; 100,000\/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 5 /6+ mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
0713320608
0686334182