Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 200,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA
MAJI MITA YAKO
UMEME LUKU YAKO
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO
0677445508
MSHATI