Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 10, TSHS.60 MILIONI, GOLANI/KIMARA SUCA.
Kiwanja ni kikubwa.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni umbali wa kilomita 3 kutoka Barabara ya Morogoro.
Nyumba imefanywa ya wapangaji vyumba vyote.
Na inaingiza Tshs.500,000 kwa Mwezi.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Luona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
______________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.