Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NAIFAULISHA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE NZURI
#JIKO ZURI (OPEN KITCHEN)
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
โผ๏ธ INAYOPANGISHWA NI YA FLOOR YA PILI GOROFANI
BEI NI 250K X 3 TU!!
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
๐ค APARTMENT HII NAIFAULISHA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
_______