Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA 
.
.
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGILE
.
.
KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500
.
.
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, 6
.
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI 
.
.
LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24  YANAFLOW CHOONI 
.
.
SERVICHAJ ELFU 15  NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
CONTACT
 0655256419




















