Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI NYUMBA NZURI INAPANGISHWA IPO KWENYE FENSI YA PEKE YAKE. STAND ALONE
.
.
LOCATION: KIMARA KOROGWE KM 1,5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS BRBR NI YA LAMI
.
.
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM KUBWA SEBULE KUBWA DAINING KUBWA JIKO KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
.
.
NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI NA LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI
.
.
USAFIRI UPA WA UAKIKA BAJAJI TAXS 500 UKISHUKA DK 3 UPO BRBR NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 . Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087