Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=ร6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
------------
Contact
Sms call watsup
๐#0719745506
๐#0741994657