Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐ Iwahiii huwa hai kai sana
๐ฐFor Rent at KIMARA KOROGWE
๐ 220,000/= ร 6
__________
___
โข Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo ni Master)
โข Sebule
โข Jiko Kwa Pembeni
โข Public toilet nje
* Inajitegemea UMEME
* Maji yanatoka ndani
* Ndani ya Fensi Ziko 2 tu
* HAINA Parking
#Umbali wa dk 10 - 12 kwa miguu
๐ Note: Inakuwa wazi kesho kutwa yan tarehe 04/05/2024, kuona na kulipia ruksa
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 220,000/=
#Service Charge 15,000/=
________
0753-172-516