Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#0742260844 #0657384670
.
EPUKA KUISHI MABONDEN MVUA BADO ZIPO NDUGU MTEJA WANGU
.
NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI YANAANZIA MIEZI 4, 5 MPKA 6
.
LOCATION KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
.
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI TAXS NOA 500 UKISHUKA DK 2 UPO NDAN
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU HARAKA
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT