Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(350,000 × 6) KIMARA KOROGWE
NI APARTMENTS NZURI MNO NA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA
#ZIMEBAKI_MBILI_TU
LOCATION KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1. 4
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK 2 UNAINGIA NDANI
KODI NI TZS 350,000 × 6
SIFA ZAKE 👇
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO KUBWA OPEN KITCHEN NA PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI
NDANI YA FENCE PARKING KUBWA PAVING BLOCKS ZITAKUWEPO GARDEN ZITAKUWEPO
ELECTRIC FENCE INAWEKWA
HEATER YA MAJI MOTO NA BARIDI
NB:
ZITAKUWA TAYARI KUINGIA TAREHE 10.03.2024 KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA
BARABARA YKE NI ZEGE MPAKA GETINI
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja