Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 130000 x 6 ) PUNGUZO LA BEI PARTMENT NZURI CHUMBA MASTER JIKO MPYA MPYA MPYA
UMBALI WA KILOMETA ( 2,5) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKAS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJI 1000/=
TILES GPSUM MADILISHA ALUMINIUM
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA FLOW
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES 15000
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA WA DALALI
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI



















