Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
150000x3. 0759151524
MASTER NA JIKO 150K X 3
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI 2KM BAJAJI 700
CHUMBA MASTER KUBWA SANA
JIKO ZURI
MAJI YAPO YANAFLOW
UMEME LUKU YAKE
MAJI YANAFLOW CHOONI
KODI 150X 3
ZIPO NDANI YA FENCE
0679 956 863
0759151524
0698594356
ZIPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2 UKISHUKA DAKIKA 5 UPO
NDANI
USAFIRI BAJAJI 700
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI
15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
IPO WAZI NI YA KUHAMIA TU