Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(130,000X4) KIMARA MWISHO 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700, UNASHUKA BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*MASTER BEDROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI
*ZIKO 2 KTK COMPAUND MOJA, LUKU YA KUSHEA NA KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE#HAKUNA PARKING SPACE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 130,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
CONTACT US:-
0716223412
0618976024
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________