Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APPAINTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WA KILOMITA MOJA NA NUSU
USAFILI UPO MWINGI SANA BAJAJI MIA 700 BODA BUKU
BEI LAKI MBILI KWA MWEZI ILIPWE MIEZI 6
200,000X6
SIFA YA NYUMBA
CHUMBA MASTA SEBULE KUBWA NA JIKO
INA TILES, JIPSAM DILISHA KIOO
INAJITEGEMEA MAJI NA UMEME
MAJI DAWASCO SAFI
YANATOKA CHOONI NA JIKONI MAZINGIRA MAZURI SANA
KARIBUNI SANA
SIMU
0712656027