Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ##400K
--------------------------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 8 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWENDOKAS TERMINAL.
--------
HII NYUMBA ITAKUA TAYARI KUHAMIA TAREHE 01 / 7 / 2024.
SIFA ZAKE =
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINING ROOM
JIKO ZURI
STORE
PUBLIC TOILET
REZEV SIMTANK
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK PARKING SPACE KUBWA.
---------
KODI NI 400,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-------
👉 PICHA ZA NDANI UTAZIPATA
NOTE =
TARATIBU ZA MALIPO NI MIEZI SITA NA SI CHINI YA HAPO VILEVILE KUNA HELA YA TAHAZARI ( CAUTION MONEY ) HI NI TOFAUTI NA KODI YA NYUMBA AMBAZO ZITALIPWA ZOTE KWA PAMOJA.
----------
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 HII ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
# Simu 0757 404087