Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location kimara korongwe dakika 15 kutembea mpaka home
Kodi 250000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba na sebule
Choo ndani
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Nyumba ipo ndani ya fency isiyolaza gari
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128