Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(220,000X6)KIMARA KOROGWE 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD BAJAJI 500, UKISHUKA BAJAJI UNATEMBEA DK 6-7
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI #BEI 220K
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA CHA KULALA
#CHOO CHA NDANI
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#ELECTRICK FANCE
#PARKNG YA KUTOSHA
#BEI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI DALADALA/500 UKISHUKA DK 6-7 UPO GETINI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453