Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA MPYA KABISA 250K X6
ILIPWE LAKI MBILI NA NUSU MALIPO YA MIEZI
SITA
SIFA ZAKE
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING IPO
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE USAFIRI BAJAJ DALADALA SH 5OO UKISHUKA UNATEMBEA MITA CHACHE SANA KUTOKA LAMI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
#0710614924
#0688653940