Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA 500,000/= X 6
#VYUMBA 2 VIKUBWA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 500,000/= X 6
🏘️ LOCATION:- NI KIMARA TEMBONI UPANDE KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU (FEW METER'S FROM MAINE ROAD) NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
💥HAPA UKILIPIA KODI YA NYUMBA UTALIPIA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
071614924
0688653940