Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM NZURI INAPANGISHWA – KIMARA BUCHA
📍 Mahali: Kimara Bucha, Dar es Salaam
🕗 Umbali: Takribani km 1 kutoka Kituo cha Mwendokasi
🚶♂️ Dakika 15 kwa mguu
🏍️ Bodaboda Tsh 1,000/= tu
🏠 SIFA ZA NYUMBA
🔸 Chumba master kikubwa
🔸 Jiko
🔸 Umeme wa LUKU (meter yake binafsi)
🔸Maji yanafrow ndani masa 24/7
🔸 Fenced car parking kubwa
👉 Chumba kitakuwa wazi tarehe 20/12/2025 kukiona na kufanya malipo luksa, endapo mpangaji atakuwepo.
💰 GHARAMA
🔹 Kodi: Tsh 150,000/= × miezi 6
🔹 Malipo ya Dalali: Tsh 150,000/=
🔹 Service Charge: Tsh **20,000/=
📞 Piga simu
💬 & WhatsApp
🙏 Please follow us
🤝 Karibu sana mteja halisi 😊



















