Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







WAHI CHUMBA MASTER KIKUBWA KINA PANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 80,000X6
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
IPO NDANI YA FENSI SAFI
UMBALI KM 2
BODA BODA 1000 HADI NYUMBANI AU BAJAJI 700
UMEME SHEAR WAWILI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
###0655256419