Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


400,000x6
.
LOCATION:KIMARA SUKA
.
APARTMENT INAPANGISHWA
.
SIFA ZA NYUMBA
#############
Vyumba 3 vya kulala
Kimoja master
sebule kubwa
jiko ni makabati
Vyumba bahazi vina makabati ya nguo
na public toilet ya ndani
.
.
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 4 5, 6
.
.
Umbali KM 2 Usafiri bajaji, 800 upande wa kushoto kama unaenda mbezi
.
.
Kila apartment inajitegemea umeme na maji
.
.
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
.
.
Angalizo: Zingatia kusoma umbali ndugu mteja
.
.
Contact
0742260844
0657384670
.
Dalali silaa