Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
π° Inapangishwa KIMARA KOROGWE
π Kodi ni Tsh 250,000/= *6
__
_______
β’ Jiko
β’ Sebule
β’ Chumba Master Kizuri
β’ Choo Cha Wageni
* Inajitegemea UMEME
* Maji yanatoka ndani
* Fensi
* Parking Ipo
#Umbali wa Kutembea Dakika 10-12 kwa miguu
#Inakuwa wazi Tarehe 30/10/2024, Kuilipia Ruksa
________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 250,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
β:- 0753172516